Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 – Mwongozo Kamili
NECTA (Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania) imetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025 (CSEE 2025) rasmi tarehe 31 Januari 2026. Matokeo haya yanahusiana na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2025 na sasa yanapatikana mtandaoni.
1. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne 2025
- Ingia kwenye tovuti rasmi ya matokeo ya NECTA: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm
- Chagua herufi ya kwanza ya shule yako au tumia orodha ya shule zote.
- Bonyeza jina la shule yako au namba ya mtihani (index number).
- Ingiza namba yako ya mtihani (format: SXXXX/XXXX).
- Bonyeza “Submit” au “Get Result” kuona matokeo yako.
2. Taarifa Muhimu Kuhusu Matokeo 2025
- Tarehe ya kutangazwa: 31 Januari 2026
- Tovuti rasmi: matokeo.necta.go.tz au necta.go.tz
- Matokeo yanapatikana bure mtandaoni
- Unaweza kupata matokeo kupitia SMS (angalia maelekezo rasmi baada ya kutangazwa)
3. Matokeo Mengine ya Hivi Karibuni (2025/2026)
- Matokeo ya Kidato cha Pili (FTNA 2025) – yalitangazwa Januari 10, 2026
- Matokeo ya Darasa la Nne (SFNA 2025) – yalitangazwa Januari 10, 2026
- Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE 2025) – yametangazwa awali 2025
Kwa maelezo zaidi na updates za moja kwa moja, tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.necta.go.tz au mabumbe.com/sw/necta.
Kwa habari zaidi kuhusu elimu, safari, na mengineyo, tembelea www.jaynevytours.com.